Nov 19, 2011

KUNANJIA NYINGI ZA KUJIVUNIA NCHI YAKO

Kama unaipenda nchi yako basi ushindwi kuitangaza wapo wanaovaa nguo,viatu, pochi ila shost hapa kaja kivyake na makeup ya ramani ya Tanzania katika swahili Fashion Week.


unamwonaje kapendeza au kajichafua uso!


5 comments:

Anonymous said...

Bwana hapo mcharuko tu

Anonymous said...

uchafuu huoo.angevaa hereni au nguo za tanzania hapo sawa kama dokiii tafuta picha ya dokiii uweke kapendezaaa.

Anonymous said...

huyu atakua MJALUO tu huyu!!!!

Anonymous said...

hahah kweli mjaluo mana kama giza

j said...

Yap bila shaka atakuwa mjaluo wa kwetu black b

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...