Oct 17, 2011

BEYONCE ALIVYOCHAKACHULIWA NA WENDY JUU YA MIMBA YAKE

Beyonce ameacha watu midomo wazi baada ya kuitwa kwenye kituo kimoja cha Tv kwa kufanyiwa interview ila yalijili mapya kabla hata ya hiyo interview ,pale alipotaka kukaachini na mimba ikajikunja ,na ndipo mtafaruku ulipo anzia je kweli anamimba au alivaa minguo au laah!
Bninafsi naona mimba anayo sema alitaka kuikuza ili ionekane kubwa so hapo ndipo alipochemka na masimango yalipoanaza kwa wandishi wa habari ,tizama hii video uone wendy alivyo mnyambua!


Hii i kubwa zaidi mimba ya miezi mitano ikajikunja,ila mungu akupe ujaslii na hiyo februari uze salama ni vijimambo tu .

2 comments:

pendo said...

tette bongo sie wambea ila wamarekani wamezidi duu mpaka wameletwa wajawazito wenye miezi sawa na beyonce wakae tu naowaonekane kama mimba itajikunja
kakomajee

Anonymous said...

know that camera can do any thing now days

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...