Jul 6, 2011

MR BLUE NEW SONG TILA LILA

3 comments:

Anonymous said...

wimbo hauna maan hata kdg yani hauna muendelezo wa kueleweka haswa kimaana thank God kuna neno TILALILA angalau utaelewa anamaanisha nini zaidi ya hapo ni km KAUZA NYAGO TU

Anonymous said...

lol nilidhani nimeona mimitu! yani ni nonsense,wameuza sura na cha zaidi wanasisitiza anasa na pombe

mumy b

aidan said...

daa naishiwa na nguvu bro,ila nini we usijali hata wakipiga majungu komaa tu siunajua tena wa bongo hatuishi visa,,kila mtu anamtazamo wake ila 4 ma side its GOOD BRO,,ITS ME AIDAN

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...