Qeen bee hizi nywele hapa zimetoka kighetto mno na hazina style plus that pink lipstic yani ameonekana vibaya zaidi,hii pink au purple lipstic yani inakubidi mtu uwemakini mno kabla ujajitokeza kwenye public sio wote wanapendeza nazo.
lil'kim. belt ya kiunoni imeni inspire
1 comment:
kwikwi hajapendeza hata kidogo husoni balaaa aliyempamba hajajuli colour mmmmm
Post a Comment