PURPLE LIPSTIC INAPOMPATA MPAKAJI MZURU HUFANAA HIVI
Dolly amependeza mdomo purple lipstic naiona inapendeza zaidi kuliko pinks!hapa make up imefits poa na hiyo eye liner jichoni ni balaa,wenye lips zenu jaribuni purple jamani inatoa sexy.
1 comment:
Anonymous
said...
jamni mdada amepakwa vizuri liptik yake mmm big up
1 comment:
jamni mdada amepakwa vizuri liptik yake mmm big up
Post a Comment