Mar 18, 2011

LAURYN HILL'S DAUGHTER SHINE ON TEEN VOGUE

                                               
Mtoto wa mwanamziki lauryn hill ,Salah Marley amekuwa modelling teen vogue ya april 2011 na kufanyiwa interview,binti miaka 12,Salah anasema anapenda kuja kuwa mwanamziki mkubwa dunia,mtoto anaridhi kutoka kwa babu yake marehemu Bob marley na mama yake.
                                   she got a lovely smile,hapa ndio anaonekana kufanana na mama yake.

                                  
                                          Lauryn Hill

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...