Jan 31, 2011

NI FUNDISHO KWA WANAWAKE WOTE WENYE TABIA KAMA HIZI

Week iliyopita kunamwanamke alifanyiwa fumanizi na mwenye mme akawaita waandishi wa habari kuja kuona tukio zima.mama huyo aliwapigia simu wafanyakazi wa clouds fm Gea habibu na Dina marios wanao tangaza kipindi cha leo tena,basi wakajibeba na wapiga picha na wachukua video mpaka kwenye fumanizi.  ikasemekana mama mwenye nyumba alikuwa na ugomvi na mmewe,na akaamua kulala chumba cha watoto,kumbe huku nyuma baba anaingiza nyumba ndogo,bibie aliwasha moto kwa style yake.mama aliefumania alifanya maamuzi mazuri ya kutafuta waandishi wa habari bila shaka mmewe hatorudia tena, kuliko angechukua  vyake na kumwacha mmewe,

                              
                      mama anaeongea ndio alie fumania,akitoa habari la tukio zima

                                                                                 
  Bibie aliebeba mme wa mtu.akilia mana alikomeshwa kwa kuitiwa waandishi wa habari
                                                                                   
kazi na dawa bibie alikutwa na irizi kwenye poch lake baada ya kusachiwa,kumbe alikuwa akimroga huyo baba mapenzi yawe moto moto.

                                                                  WATCH A VIDEO

PART 2
Huu ni mfano mzuri wa kuigwa dont give up on cheaters pambana nao kutetea ndoa yako ,mana kuna midungaembe inatoa macho kwa kushadadia ndoa ya mtu ikienda mramba ,sasa hapo imekula kwao na kufunga vilimi nadhani mmenipata walengwa .

PICS FROM DINA MARIOS                                                                   

1 comment:

Anonymous said...

Hiyo hirizi gani hamuijui hirizi nyie..
na wanaoona ni sawa wanawake kudhalilishana nashangaa sana.. hapo wa kumshika ni mwanaume.. hiyo story yote full of stupidity na waandishi wa habari hapo hawajasoma manake badala ya kuwa neutral wasikilize.. wanshadadia.. bongo ndo maana tunaganda pale pale tunabakia kujibeba na magunia.. elimu ni kitu muhimu sana..

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...