IBM STOCKHOLM, UJUMBE FROM FREEDY NICE USISAHAU KITAMBULISHO CHAKO,MANA HUTAWEZA INGIA BILA KITAMBULISHO,NI ID AU PASS PORT NA ID ZA ASSYLUM SYKER(LMA KORT) HAZITARUHUSIWA KUTOKANA NA UTAWALA WA CLUB.
4 comments:
Anonymous
said...
asante sana kwa kutuwekea ujumbe toka kwa fred mana wengine tushazoea party za kiafrica hatubebi kitambulisho
watu wengine bwana mkipewa ukweli mnaanza majungu sasa lipi bora mfike mjikute mnarudishwa na LMA KORT zenu au muwambiwe ukweli mkaazime id zinazoelewaka,idiot
4 comments:
asante sana kwa kutuwekea ujumbe toka kwa fred mana wengine tushazoea party za kiafrica hatubebi kitambulisho
kwani nani hajui club lazima abebe kitambulisho usituzingue kwanza fredy nice anakujua
hhahha huyu nani kwani anaeumia mamylosh kumjua fredy nice,mijitu mingine mishamba ,kwani fredy unamwona binadamu wa ajabu mpaka asimjue lolest tuondolee ujinga humu.asante kwa tangazo mumy
watu wengine bwana mkipewa ukweli mnaanza majungu sasa lipi bora mfike mjikute mnarudishwa na LMA KORT zenu au muwambiwe ukweli mkaazime id zinazoelewaka,idiot
Post a Comment