Dec 19, 2012

IPI INAKUFAA MAKEUP AU MAKE UP FREE


Mmmhh!!! make ups Zinadanganya ama Hazidanganyi?
Picha:Kabla na Maada ya kujiwekea Make ups..
LOL KAMA UMEUZOESHA USO WAKO MAKEUP, USIPO PAKA UNAONEKANA KITUKO ILA MIMI NIKIWA FREE BILA MAKE UP ,NAJISIKIA HURU ZAIDI !SO ATANIKIPAKA NIKAKUTANA NAMTU NEXT TYME ASIPO NIONA NA MAKEUP HAWEZI KUSHTUKA JE WEEW UPO UPANDE UPI CAN U GO MAKEUP FREE!

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...