Leo Muba na marasta hapa kimya mpaka unahisi leo hawa watu hawapo nini?
lugha bwana ambayo sio yako lazima uwe mpole.
nampenda huyu dada yupo so sweetie, open na anajiamini mpaka anaulizwa
unajichubua na anapinga hhaha kweli full of comfedence.
1 comment:
Anonymous
said...
alisita kidogo na akawa na uso wa wogaa.muangalie kwenye hilo swali ila anajiongezea maana vidole vina weusi flani.ndo ujana huo amuone maimatha alivyo sasa.
1 comment:
alisita kidogo na akawa na uso wa wogaa.muangalie kwenye hilo swali ila anajiongezea maana vidole vina weusi flani.ndo ujana huo amuone maimatha alivyo sasa.
Post a Comment