Dec 13, 2011

INABIDI TUMSHUKURU MUNGU KILA WAKATI ANGALIA HADI URUMA

3 comments:

Anonymous said...

Hii blog ni ya kikuma sana weka mambo ya maana yanayo endelea sai huko Bongo.Wema na Diamond balaa tupu Joketi akamata mshedede.

Anonymous said...

Mungu akusamehe,Anonymous hujui unalosema. Watu wanateseka huko na afya zao. Eti wewe unataka Dimond & Wema,kwani umelazimishwa kufunguwa hii blog?,blog zimejazana kibao!! Mie naona Shetani mzima mzima amekuvaa wewe,sio bure!!

Anonymous said...

UJALAZIMISHWAKUINGIA HATURUHUSU MATAMSHI MACHAFUU.USHINDWE ULEGEEE .

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...