Dec 12, 2011

I'M GOING ON HOLIDAY SOON

Yap guys l'm going to start my holiday this week on thursday my long holiday!baada ya kufanya kazi 19month non stop,sasa nimeamua kupumzika and guess wat naenda kula x-mass na familia yangu Africa.l'm very excited to meet my family OMG.
                                                   
                     moi at my working place lol those days back i used to have belly!
so mkiwa mnaingia humu mnaona kimya msije mkapanic mjue nipo holiday ila nitakuwa na wapa mpya mpya za bongo nikipata mda coz i got a lot to do down there!
i have nothing in my mind more than Africa

nasmile ila moyoni nahisi upweke flan mana kuna watu nitawamiss sana my sweetie gal jackie.
my beautiful family in norrtälje,mama ya sean claire,mtoto wa nyakisinda lilian,miamor n agatha.
xoxo
                                                                                          
                                                                             

22 comments:

Mdau norway said...

mbona yule dada yako hayupo inamna hutamiss

Anonymous said...

yule anaenda nae hawaachani hawa,aliowatajaaa kwi kwiii ndo mmisoooo upo hapooo,yaani na sie jamani mama bulandoni aenda wp wewe,yaaani MUNGU ni mwema next year hapatoooshiiii uzima kwanza.safari njeema matukio muhimuu kuliko kula.

Anonymous said...

izo nywele jamani mh

Anonymous said...

NYWELE ZANGU NZURI HUNA LOLOTE UMEKOSA LAKUKOSOA KAKOJOE UKALALE

JALUX'S FASHIONS said...

DADA YANGU ANAENDA SIWEZI MWACHA NYUMA @Mdau norway

Anonymous said...

we thought yo going to Bahamas...kumbe Tanzania uwiiiiiii umefulia live.

Anonymous said...

Hahaha.kafulia na kafanya kazi miezi 19 niambie fuba lake manina mtajibebaje next plsss

Anonymous said...

Bahamas my sasa huko akasherekee na nani mtumwa wewe usitaka mwenu na uache ushamba chrismass unatakiwa usherekee na family wew kesha tupo navikopo bia bongo utaisikia tu watu wanaenda bwabwabwa jipange upya

Anonymous said...

Mmmh yani siku ukiweka tu picha yako basi humu kunakuchaa hahaha siuwe unatuwekea picha zako kila siku

Anonymous said...

Kazi gani wakati ana nyonyesha tindi limeshuka live.hana jipya kabisaa.

Anonymous said...

Hazina mvuto kabisa ndo maana watu wana comment.

Anonymous said...

midomo mali yenu hamlipii VAT.mkimaliza mtanyamaza nenda mama ucwajali dunia duara hawana jipya maisha mafupi.

Anonymous said...

wanadamu jamanii,kakosa nini sasa mnamnanga nyie mmejionaaa,kweli wakakojoe wakalaleee matukio weeeka tangu air port.

Anonymous said...

we nenda bahamas nyoko usi2letee kisukari kwa blog hapa miji2 mingineee.weeka picha nyiiingiiine waseeemeee nyyooo zao.

Anonymous said...

mvuto ni sura na anayo yenu ya mikorogoojeee.paka wa baa wengine bwana fyuuuuuuu....

Anonymous said...

anamnyonyesha babu yenu,hujui kunyonyesha ni sifa zaaa wako,nyaaaauuuu wewew

Anonymous said...

mkataa kwao m2mwaaaaaaa.ozea hapa utaisoma kimya kimyaaaaaaa.ileeee inapitaaa

Anonymous said...

safi mdau,umewapa vya kuwatosha maana binadamu wengine wana stress zao sasa hapa ndo wanazipunguzia sasa nawaambia hiviii... wanaenda kula bataaa kwa raha zaooooo na watoto wao.na nyie fungueni yenu muwe mnaandika muone nani atatembelea,ye ana kipaji kublog si mchezo jamani big up mama brandon.tunakupenda ur natural beauty

Anonymous said...

una tatizo na m2 kwanini usimface mkapeana kavu?????? huna cha kukoment kwanini usikae kimya???? yani chuki za kijinga jinga tu na wewe mwenye blog kwanini unawajibu??????? Maneno ni yale yale watu ni wale wale na unawajua kwanini unawajibu??????

Anonymous said...

mbona hakuna cha kutisha ni maisha yale yale ya pangu pakavu?..........!!!! ha!!!

Anonymous said...

safari njema africa kutamusalimaiwooteee.

mamaloshi said...

MAMALOSHI .MI NADHANI BORA HAWAJIBU MNA WATAJUA MSG ZIMEFIKA KWANI TUMESHAZOEA HAPA DUNIANI UFANYI JAMBO ZURI AU BAYA WATU WAKALIPENDA PIA LAZIMA TUWE WAWAZI WEKA TU MDOGO WANGU WATAANDIKA WATACHOKA HUFI WALA UPUNGUI KWA COMMENT ZA WATU NDO KWANZA .YANAKUENDEA@UZURI WAKE NA MWISHO WAKE UNAONEKANA .KARIBUNINI SANA .ASNTENI KUTUTAKIA SAFARI NJEMA HAHAHHAHAH

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...