Dec 12, 2011

FENDI SHAERLING SUIDE BOOTIES

Yap nicki got hers ,she is about to fly girl i luv her oversized shades





Hata winter unaweza vaa sexy kama kawaida pata mwonekana kwenye fendi shaerling cuff suede booties

11 comments:

Anonymous said...

The woman is rly hot,how com the owner of the blog mtegesho can not wear stuffs like this?pls ans our Q.

JALUX'S FASHIONS said...

Haina majotrooo hilo tu umepata omba jingine stay tuned kuona suede zangu

Anonymous said...

I think u dont know wat ur writtin' what the meanin' of (suede zangu) hahaaaa or u mean the word swagger?....yo IQ is too low pls free advice read some story books.

mumy b said...

kuna watu mnajidai mnajua alafu ni zero kabisa sasa wewe ungekuwa na high iq ungeshindwa jua suede shoez,acha ujinga washamba kama wenzako wasipo jua vitu wana google kwanza ndio wajue nini wataongea mshamba wewe kwanza atafashion ujui? utaijulia wapi suede shoes lol kakojoe ukalale humu sio hadhi yako next time soma comment vizuri usikurupuke

Anonymous said...

utakaa humo.pipi wewe.

Anonymous said...

wewe huna mguu wa kuvaa boot utaishia kuvaa viatu vya H&M tu,na second hand boots pole sana gluu humo Ashangedele mwaka huu mta ji JB mpiana.

Anonymous said...

mim sipendi mtu unapopoteza mda wake na mijitu ambayo unajua ipo desparate na maisha yao,anatafuta pakutoa stress hili linaonekana linakaa skane kabisa mashambani huko ndio mana bado anadamu ya chuki na hii snow bibie unalo litakutandika mpaka ushike adabu yako

Anonymous said...

Hivi mbona mnagombana!Mnagombania nini cha maana?huyo wa mashambani ajiheshimu basi jamani wenzenu wana familia sai wana watoto na mambo ya muhimu ya kujenga taifa la Ulaya.acheni ujinga.

Anonymous said...

huyo juli mjaluooo ni mweusi sana.

mamaloshi said...

HAHHAHAH WAKIITWA WENYE MIGUU UTATOKA .DOGO LANGU WANACHEKESHAJE HAO NADHANI WANABEEP MIGUUU YA BIA UJALUONI HAHAHHA UKIPATA MDA WEKA ILEILE .WATAKOMAJE?

WARDA SINZA said...

WATU WANAHASIRA SANA NA ULIMBUKENI .YANI HATA UFANYAJE KWAO ROHO ZA UMA POLENI MUNGU NDO KASHAWAPA BAHATI WEUSI MASHEPU .HAWARINGI .MAMBO YANAWAENDEA NA WANAZIDI KURUSHIA WENGINE CHANELI ZAKUINGIA UKO ULAYA YANI KWAKWE HII BANDUGU WAPO NA ROHO ZAO PEKEEE .WATAISHIA KUPEWASIFA HADI MBINGUNI SIO KAMA WENGINE WAKISHA FIKA UKO NDO HAYA ULIMBUKENI.KUDHARAU TULIOCHEZANAO KIPAWA .KAMA UMEINGIA NA SISI SIKU ZETU ZITZFIKA TUTAINGIA .MUNGU AWBARIKI .MTUKUMBUKE NA SISI WADAU TUNAOPENDAKUJA UKO NA HATUNA UWEZO .@KAMA MKIWEZA JINYONGENI BASI

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...