Oct 29, 2011

TONITE AMANI NDANI YA STOCKHOLM!

MWANADADA AMANI TOKA KENYA LEO NDIO SIKU YAKE ATAKAYOPIGA HAPA STOCKHOLM  ITAANZA 20.00-5.00 AM ,HAPO HAKUNA
MJOTROOO MPAKA KUNAKUCHA KILLINGILO NI KR 200


LOVELY AMANI ATAPIGA KWENYE UKUMBI WA VÅSTBERGA ALLE.UTAPANDA TUNNELBANANS REDLINE TOKA T.CENTRAL KWENDA NORSBORG NI DK KUMI UTASHUKIA LILJEHOLMEN ,BAADA YA HAPO UTAPANDA BASI 165 AMBALO LITAKUSHUSHA VÅSTBERGA ALLE AMBAYO NI KAMA DAKIKA 5TOKA LILJEHOLMEN.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...