Sep 26, 2011

HOME PARTY @ SIMAH'S PLACE

W-end imekwisha! kwa upande wangu ilikwisha vizuri ,nilifurahi nilihave fun na familia za watu tofauti.ilikuwa birthday party ya watoto wawili mtu na dada yake .

Amani 1YR                           Doroth 5YRS

 Amani na doroth wakiwa na wazazi wao.

´Nilichelewa kwenda kwenye party mana nilikuwa job nilipotoka ndio nikapitiliza ata baby brandon sikuwa nae poor mama.

niliwakilisha zawadi za brandon na losh japo wenyewe hawakuwapo.

Doroth akifungua zawadi zake akisaidiwa na mama yake.
tukachezewa ngoma ya kihaya na momies walivaa black kama sare,mama doroth ni mhaya basi ikawa chambua karanga kama kawa lol waswedish ndani ya saida kaloli
momies having fun hapa kila mtu anamtoto nilifuraha kukutana na new friends nilijifunza mazuri machache toka kwao kwa mda mfupi niliokutanan nao.
hot momies toka Tanzania,Burundi,sweden na libya
Kushoto burundi katikati Tz kulia Kenya huyu dada anavituko hadi raha.


SIMPLE N SMART



ilinibidi niage na kuondoka na kumwahi baby B ,party ndio kwanza ilikuwa inaanza wakati naondoka mana watoto walikwenda lala na watu wazima ndio walikuwa wanaanza ingia na hiyo ndio ilikuwa w-end yangu!

11 comments:

Anonymous said...

okkkkkkkkkkk simple kweli uipendeza umevaa kuendana na party mana ni sehemu ya watoto hutakiwi kimini kama unavyo vivaaga

Anonymous said...

watoto wa huyo simah ni mashalaaah hongera mwaya

Anonymous said...

raha ya party ndio hapo mataifa mchanganyiko sio waboooooooooooongo tuuuuuuuuuuu basi full umbea umbea

pendo

Anonymous said...

Mmh wew nae sasa huo umbea kwan wabongo ote wambea umbea unamfata mbea sasa iweje msonyooo

Anonymous said...

Mumy jalux mie hiyo blus tu tujuzu ya wap ni nzuri

Anonymous said...

Asante ndugu yangu hapo juu

Simah

Anonymous said...

kweli bora mchanganyiko nakubali kbsaaaaaaaaaaaaaaa tumejaliwa majungu walai lol wengine basi midomo myeusiiiiiiiiiii km kunguru kuonyesha kiasi gani MMBEA

Anonymous said...

Mama brandon hao ndio mabest friend wako

Anonymous said...

tulikuwa tukiangalia blog rafiki yangu mrundi kauliza mlibya ni nani nkamwambia no atakuwa kakosea kidogo, libya hakuna dear ulikosea kidogo ni syria mpenzi. shukurani kwa kuja ukaturusha kwa blog, na ikitokea kuna party ntakuliaka husiwe busy tu, marafiki niliwapa page wakakuona vitu vyako walikuwa wanakusikia tu, ila usemo mmeja umewaachia wananambia kila saa ur friend she is very beautiful. jibu ni its true. micn u mpenzi. Simah

JALUX'S FASHIONS said...

Ok asante kumbe syria hot momies ndio jina nimewapa hao best.zako nitakuja ila uniambie mapema niombe off job vp nilikuinbox uliona face book .wasalimie sana.usimsahau crazy susan nimewamisije hot momies hug n kiss

Anonymous said...

ninamarafiki ni moto mama Brandon, na sote tuna watoto mbili mbili tupo5 na watoto kumi, yeah niliona dear nilisahau kukujibu. rafiki yako Suzy anakupa hi nilimpa blog yako mtundu mtoto huyo.

tutakuwa wote friday nitakucall leo. hug
Simah

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...