Mwanamziki mkubwa nchini Tanzania Remmy Ongala ,amefariki dunia usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake mbezi. msiba wanategemea kufanyia nyumbani kwake kwa zamani sinza kwa Remmy.Marehemu alikuwa akiugua mda mrefu,mungu amlaze pema peponi,na hato sahaulika alikuwa mwanamziki bora ,kwa kuimba nyimbo zenye mafunzo kwajamii yetu Tanzania.
3 comments:
mungu amlaze pema peponi
kifoooo kifooooo kifoooo hakina uruma hii nyimbo ninzuri sana katika nyimbo alizoimba restin peace remmy
R.I.P REMMY ONGALA
Post a Comment