mi sio wa pamba kiviiiiiiiiile ila huyu dada hakuna shuguli atayoenda bila kuchemka yani lazima. izo ndude kweli zipo inn kibongobongo ila harusini???? au na gauni km ivo???????? NI ushamba tu wakutaka watu wajue anazo.
Sura anayo sn hata bila makeup uyu anamvuto shedo imekaa lips zimetulia, mikorobwezo kibao hereni kibao,mcheni wa kuninginia, mabangili yani kwa outfit ya harusi mtokoto
mi sio wa pamba kiviiiiiiiiile ila huyu dada hakuna shuguli atayoenda bila kuchemka yani lazima. izo ndude kweli zipo inn kibongobongo ila harusini???? au na gauni km ivo???????? NI ushamba tu wakutaka watu wajue anazo.
ReplyDeleteSura anayo sn hata bila makeup uyu anamvuto shedo imekaa lips zimetulia, mikorobwezo kibao hereni kibao,mcheni wa kuninginia, mabangili yani kwa outfit ya harusi mtokoto
She is so sex and hot,more than mwenye blog mwenyewe...i wanna see how you look yo self first.
ReplyDeleteMchaga mwenye mvutoo.mana wachanga kuwakuta na miguu au shape kam ya wolper ni shidaaaaa
ReplyDeleteKiukweli amejiaccessorize mno kama mganga wa kienyeji
ReplyDeleteSexy wolper aka amber rose
ReplyDeletehahahahahahaha mbona jimama?aingie gmy kwanza ndo arudi.
ReplyDelete