Dec 6, 2011

NICE VIDEOOO WENYE VIUNO VYAO WAPO WENGI

WOOOW NILIKUWA NAINGOJEA HII CLIP ,CASSIM ALIHOJIWA NA DINA MARIOS AKASEMA HUU MUZIKI UMEGHARIMU ZAIDI YA 10MIL TZ SHS KWENYE KUTENGENEZA VIDEO YAKE ,ILA DINA ALISHANGAA !AKAONA NI NYINGI AJIELEZI ZIMETUMIKA VP
ANGALIA VIDEO JE UNAIONAJE? HOPE ITAUZIKA ZAIDI ASIPATE HASA



1 comment:

  1. Kwa kiwango cha hiyo pesa inawezekana mana kuna helikopta humo.boti.kuwavesha hao.wadada.kulipia location uwezekana upo mkubwa tu haswa swala la helikopta ni gharama sana wanakodisha kwa dakika

    ReplyDelete

FREEDOM OF SPEECH