Jul 6, 2011

UNAIONAJE ZAMARADI'S FASHION STYLE!

                                                
  Hii ndio fashion style za zamaradi Mketema ,ambae ni mtangazaji wa cloud's fm na cloud's Tv .je wewe unaionaje fashion style yake ni Hot or Mmhh.ukitaka mjua zaidi ingia http://www.zamaradimtketema.blogspot.com/  
                                                                       

4 comments:

  1. style yake sio mbaya sio nzuri na siwezi sema ipo hot kiufupi ni mmmh kama ulivyosema.

    Neema

    ReplyDelete
  2. full kubahatisha amna ki2 apo

    ReplyDelete
  3. havieleweki atangaze tu awaachie kina jokate mongelo,hana mvuto wa fashion.

    ReplyDelete
  4. nakubaliana na mdau hapo juu jokate fashion pale mwake ,huyu dada kwanza anarudi nguo kila siku na hivyo viatu vyake vyekundu jamani sasa sijui ndio celebrity gani kila party anarudia nguo mmh

    ReplyDelete

FREEDOM OF SPEECH