Jul 6, 2011

MR BLUE NEW SONG TILA LILA

3 comments:

  1. wimbo hauna maan hata kdg yani hauna muendelezo wa kueleweka haswa kimaana thank God kuna neno TILALILA angalau utaelewa anamaanisha nini zaidi ya hapo ni km KAUZA NYAGO TU

    ReplyDelete
  2. lol nilidhani nimeona mimitu! yani ni nonsense,wameuza sura na cha zaidi wanasisitiza anasa na pombe

    mumy b

    ReplyDelete
  3. daa naishiwa na nguvu bro,ila nini we usijali hata wakipiga majungu komaa tu siunajua tena wa bongo hatuishi visa,,kila mtu anamtazamo wake ila 4 ma side its GOOD BRO,,ITS ME AIDAN

    ReplyDelete

FREEDOM OF SPEECH