home na baby B tumekesha kuangalia Cartoon na Movies .
I got my new hair style, tiny hair pick n leave i had them before I left Tanzania. It takes patience to sit down throught hours to get tiny hair .After having Brazilian weave ,
sasa nimepumua ninamzigo mpya i luv them, kazini hawakwishi zishika shika lol.
I had this bright dress a couple of weeks ago when i attended office party.
nywele nzuri atamimi nimezipenda
ReplyDeleteAsante my dear
ReplyDeleteshoga km kupaka wanja kuna kozi basi nenda
ReplyDeleteMama brandon kweli unakosesha watu amani yani katafuta la kukosoa anaona ngoja nijipe moyo kwa wanja , wala sioni kosa hapo umependeza mbaya achana na waosha vinywaaa wao ndio waende kozi ya mavazi ,nywele bila kusahau makeup mana wanakuwa kama .....yani wala simalizii upo juuu kama mbingu
ReplyDeletejamani mbavu zangu mie kwekweee kwekweeeeee kwekwekweeeeeeee kuna blog moja hapo pembeni umeiweka nimekuta mdada kaweka ETI CRAYZ LOOK jamani kanistua km dudu jamani jamani mie leo ntalala kweli????? na mume wangu kasafiri najuta kutazama
ReplyDeleteI luv it. Wazingu watazishika mpaka zikatike. Keep it up.
ReplyDeletebora umetuwekea muonekana wa hair do,maana tulikuwa wengine hatulali tunasema sijui alitengenezaje nywele zakeeee,haya mabo hayooooo tenaaaaaaa.....jibebeni chacha.midomo mwaaaaa kama geti la muhimbili hovyoooo,mpakeni wanja mnaojuayaaani wewe UMEPENDEZAAAA MAMA BRANDON.
ReplyDeletekakushtua na nini kama sio umbea? nambona mtashtuka sana mwaka huu nyie msiojuwa pamba wala kucriet vitu mpaka mcopy ndio mana blog yake kaita street book style hata maana yake ujuwi haloooooooooooo kaaa mkaooo wakushtushwa kila siku unaonekana roho inakuchoma kama msumari mbona ujasema kwake umekuja kusema huku?
ReplyDeletehahhahahhah watu na wivu wao.mdogo wangu umependeza mimi nimenenepaje ndo nikiweka picha zangu watazishangaaa.ngoja nimalize mazoezi ntaziweka hahahhah mama loshi
ReplyDeleteGuys mnavyofanya humu sio poa unatatzo na mtu mface direct sio kuja kuchafua hali ya hewa humu tafadhali .ukitaka kashfa ni kashf mie huyo mwingine mtafute mahali husika sio humu.
ReplyDeleteThanks mdau hapo juu kwakunijibia uyo mshamba, inaonekanaje ulivyokuwa mshampa wa fashion hata ujuwi maana ya crazy look hahaha nandio nimekuwekea sasa celebrity in crazy style kashtuke tena, dont keep talking blaa blaa even you dont know about fashion, mshazoe vya kuiga kubuni holaa, atajuwa wapi mshamba huyo maana ya street book fashion kama hajawai hata kuona crazy look? pole na mzigo wako wa ushamba.mi uniwezi hata kwa dawa utabaki ukiumia na roho tuu.
ReplyDeleteSi uzibane comment nyingine kwani alishindwa kucoment kule alikoiona Kama mwenyewe kakosea akajirekebisha?? Tuwekee hizo mama Loshi nimekumiss.7
ReplyDeletekaribu clara ,ngaiza ningeibania asingepata msg vizuri mana nimechoka kuletewa habari za watu humu mara kafanya hivi mara vile humu kunanihusu mimi umenishindwa mimi basi soma habari toka sio lazima ucomment habari za maisha ya watu nadhani nimeelewaka.
ReplyDeletesiku zote ukitupa jiwe kwenye giza ukisikia YALAAAAAAAAAAAAA ujue limempata m2 ha ha ha ha rahaje????
ReplyDeleteTell dem bajue, wabongo kuweni na utu si fun at all kubeba huku nakupeleka huku, acheni ulumia kuwili. Kuweni na utu na Mungu atawabariki, je isingekuwapo anonymous watu msingesema mnayotaka? Kujivalisha ngozi za kondo ndani mbwa mwitu. Mungu hapendi.
ReplyDeleteyaani mama b ni kim2 1 ndio kinatusumbua humu sijui tukitajeeeeeeeeee,ili kisiwe kinaingia mi next tym nakitaja b.coz hawezi ku2haribia blog.
ReplyDeleteuko vizuri...hilo li dada linagere,a.k.a wivu linaumia moyo. we mshamba unaekandia wezio utajibebaaa, linajidai hoo mume kasafiri, kuwa na mume imekuwa tangazo , mbona hata mbwa ana mume
ReplyDelete