Dec 9, 2011

MY BEST SINGER DOGO ASLAY

Nampenda sana huyu mtoto jamani kiasi cha kwamba nahamu nije nimwone live
 huu mziki hauwezi pita siku bila kuusikiza ,nikiwa jobb ndio naimbaweee luv u aslay.

3 comments:

  1. dogo anatiiishaaa.na brandn ataimba maana ye na muzikiii.

    ReplyDelete
  2. Brandonii lazima awemwana muziki tu.

    ReplyDelete
  3. DOGO ANACHANA SANA MUNGU AMBARIKI HATA MWANANGU LAZARO ANAMPENDA UKISIKIA ANAVYOMUIGA KUIMBA .KICHEKO CHANGU.ITABIDIWAFUNGUE BENDI

    ReplyDelete

FREEDOM OF SPEECH