she is a some one who luvs me from the heart,no matter how much i argue
she can't be drawn apart
friend who helps me through difficult times,she plays her part like a mumy,aunt,bibi sijui niexpress vp ,unajali maisha yangu kwa hisia zote za kucheka na kulia!nitakushika mikono yako na tuianze safari,kwa pamoja tutasimama na kwapamoja tutaanguka
kwamwe sitokuweka nyuma,no matter what God will keep us together.

She flies with me in life with the beauty of a dove.nipo upande wako popote utembeapo usisite ,ukianguka nitakuokota,ukikwama nitakusukumanamshukuru mungu kila niamkapo kwa kunibariki dada mwenye upendo wa ajabu kama wewe.am proudy of you no matter what!

she is as sweet as chocolaten smooth as fudges,to me your my angle.
your my best friend i have never had,sihitaji best friend zaidi yako najua hatonienyesha mapenzi ya dhati,
yenye ukweli ,upendo inamani na kujali.wat i can say
I LOVE U NANCY
mmh maneno mazuri hongera mamalosh kwa kupendwa
ReplyDeletewat a lovely article jalux may gud blessing you,
ReplyDeleteSafi ndugu, happy to be one of her best friend. I luv i Nancy.
ReplyDeleteSimah
Ndugu mkipendan hivi ni raha mungu awapenguvu zaidi nancy ndio nani hapo
ReplyDeleteMnafanana wenyew wazuri mama yenu kabarikiwa
ReplyDeleteMMMMMMMMMMMMMHHHHHHHHHHHH.....MMEPENDEZAAAAAAAAAAAA NYIIIIIIIIIIIEEEEEEEEEEE.MWAAAAAAAAAAAAAAAA.
ReplyDeleteki2 munakosea hamuambiani ukweli hata kdg juu huwezi jua kila ki2 chini ya hii jua ndomana munakuwa kichekesho ibland but umefanya poa kuandika no matter wat
ReplyDeleteJamani ushambiwa no matter what anampenda sasa unalia nini tena mbona hamkosi kasoro binadamu au angeandika anamchukia ndio mngefurahi kaaa mnaboo we chukiana na ndug zako wao ndio washapendana
ReplyDeleteMaisha yetu tunayafurahia na ndio mana tunaishi sasa hauishi kuwafurahisha nyie.we are living for the fullest kama kwako vichekesho iyo shida yako.
ReplyDeleteJalux
Hahaha katafute msusi arudishe rasta ulizo nyonyolewa next time.utatolewa huo mdomo unaongea maneno machafu usio na adabu.
ReplyDeleteNACHUKIA SN SN SN MAMBO BINAFSI YAKILETWA KWENYE BLOG KASEMA ANAMPENDA DADAKE INAELEWEKA SASA WEWE UNAELETA MAMBO YA RASTA YANATOKA WAPI??????? ACHENI IZO MAMBO BWANA YASHAPITA HAYO
ReplyDeleteasante sana mama brandoni tangu zamani nilikuwa nakwambia nakupenda sana tena sana popote niendapo sitokuacha dogo langu then mungu amejibu maombi yangu .yaniiiii sina lakushukuru kwani wajua maisha yetu hahahhaha nakupenda kumoyo .pamoja salimia familia yako.tutazidi kupendana tu asanteni wte .
ReplyDeleteLol!
ReplyDeleteMmejuaje km mnyolewa rasta ndo mwandish wa maneno hayo? Ehehee
ReplyDeleteNdio yeye huyo.amatukana watu humu comment zake zimefutwa huu sio ukumbi wa malumbano na matusi .kama yey ni gwiji wa matusi atafute ajira ili aingize pesa ila humu no ujinga wa kutukana watu na kashfa
ReplyDeleteMumy b
Mnafanana, mmependeza. undugu si kufanana ni kupendana na kusaidiana. wanaojifanya wanawajua sana tupa kule. Be blessed
ReplyDelete