Jul 6, 2011

ZAWADI NI ZAWADI

Inapofika mda wa kutoa zawadi kwenye maharusi haijalishi umeleta nini ilimradi ni zawadi tu umeifunga na ikapendeza ,je hii zawadi wewe unaweza ukaibeba!

                                         

5 comments:

  1. hahhaha sasa huyo mbuzi au mbwa

    ReplyDelete
  2. zawadi ni nzuri ila ni stress wa wanaharusi mana anataka awape majukumu walio pangilia ufugaji

    ReplyDelete
  3. mi napokea then tunakula supu jamani c unajua wakati wa kuwa ndani ni wiki mbili namla huyooo.nikitokaaa mneneee.

    ReplyDelete
  4. hahhha kambuzi kadogo hako utakala ivo ivo

    ReplyDelete
  5. nakala hivyo hivyo ilimradi kanatembea teteee,aaaw ckaachi jamani.

    ReplyDelete

FREEDOM OF SPEECH