Jul 12, 2011

WHO IS THE HOTTEST MOMY!

 Hawa ni miongoni mwa momies wanaoni inspire kwenye world of fashion ukianzia kiatu mpaka kichwani nikimanisha kisa na nancy at the same time ni hottie momies kama unavyo wanaona ila kawaida lazima kuna mmoja anakuwa hottest kuzidi mwenzake sasa hapa yupo nancy ,kissa na jully(mumy b)lazima nijiweke hottie kama wao sasa leo nipo nao . je wewe unaona nani anakubamba.

       NB
kuwa mama mlezi sio sababu ya kujichukia na kujiacha mchafu sote hapa ni momies na tunajipenda kama kawa kama dawa.                        

6 comments:

  1. mimi msema kweli black is beuty hapo ni nancy na jully japo nancy kamfunika jully.

    kemi

    ReplyDelete
  2. mama brandon na hizo redlips mmmmh delicious

    ReplyDelete
  3. mamaloshi uwiiiiiiii nakishandu nouma

    mimi salama

    ReplyDelete
  4. Hahha kazaeni watoto 3 watatu alafu mwekepicha tuone ndio tutajua nyie hottie mama's

    ReplyDelete
  5. mammbo ya umamas,mkusema black beauty na weupe mtakuwa mnamtenga huyo kisa kwani ye kajichuna acha hizo mdau,maksi ya kwanza ni kisa anafuata july na anamalizikia nancy endelea kuweka changamoto ili kupata wadau wengi.

    ReplyDelete

FREEDOM OF SPEECH