Jul 17, 2011

SARAH NEW MUMY IN TOWN

Hatimae sarah amebarikiwa kujifungua mtoto wa kike salama baada ya safari ndefu aliyokuwa nayo ,mungu akujalie kichuna chako umkuze salama mwenye afya njema.
WE CANT WAIT TO SEE ANOTHER NEW MUMY IN TOWN AMMEY MUNGU AKUWEKEE WEPESI NA UJIFUNGUE SALAMA MY DEAR.

4 comments:

  1. mtotot mkubwa mashalaaah

    ReplyDelete
  2. hongera sarah welcome to the world of mama's

    ReplyDelete
  3. mashalaah kichuna

    ReplyDelete
  4. asante na Mungu maomi kayasikia

    ReplyDelete

FREEDOM OF SPEECH