Jul 30, 2011

RIHANNA NEW HAIR AIN'T NICE?

Riri abadili style ya nywele sasa anadark red na zipo kama curl .
                  
ila kimenishangaza kuona nywele za rangi nyeusi kujichomoza kwa mbele ,sasa msusi hakuona hilo au ndio style mana nywele hazipendezi tena zinaonekana more fake au wewe unalionaje hili!
                           

6 comments:

  1. the hair makes her luks natural n glow

    audin

    ReplyDelete
  2. ain't nice the kitchep color was the best than this.

    ReplyDelete
  3. mwanadada yupo sexy huyu du

    ReplyDelete
  4. MBAYA. I THINK NI WANGU MTAZAMO

    ReplyDelete
  5. NAONA KIFUKO CHA ZARA NYUMA PALE SIJUI NI BODYGUARD AU????????

    ReplyDelete
  6. Teteh saivi ni sales hadi riri nae anazidia denge za zara

    ReplyDelete

FREEDOM OF SPEECH