Jan 9, 2011

AUNT EZEKIELI BIRTHDAY!!

niliona hii video ya aunt ezekiel birthday , aunt ni mcheza filamu wa Tanzania. nikaona niirushe nanyi muone ingawa ni ya 2009 october,alipokuwa akisherekea birthday yake na rafiki zake,mc alikuwa maimatha mtangazaji wa tv.

2 comments:

  1. maimatha mwenyewe mbona anawavuta vuta watu

    ReplyDelete
  2. du sikuwahi kutegemea kumwona Irene katk hali hii du!

    Kokusima

    ReplyDelete

FREEDOM OF SPEECH