sequin top imeshonewa na kikaptula cha batiki ubunifu mzuri.
batiki ya one shoulder.

batiki imechanaywa na lace upande wa mkono,bongo madesigner hawapo nyuma.

gauni nimeshonewa na animal print ya zebra.

animal print kwenye black dress.

kitenge mixed seguin na gaga style mabegani.
mwanadada wa kitenge na sequin mgongon amependeza
ReplyDeleteafrican materials when get modirised luks awesome
ReplyDeletemodirised ndo nini jamani wengine kingereza shida
ReplyDeletemmh pole modernised ni kisasa kwa kiswahili
ReplyDeletehapo nimeelewa ila sijapenda ulivoniguna mwanzo eti mh! si wote tumeenda shule kiivo afu nimezaliwa kwenye kiswaili haya ntayajualia wapi???????
ReplyDelete