Dec 13, 2010

REMMY ONGALA HATUNAE TENA!

Mwanamziki mkubwa nchini Tanzania Remmy Ongala ,amefariki dunia usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake mbezi. msiba wanategemea kufanyia nyumbani kwake kwa zamani sinza kwa Remmy.Marehemu alikuwa akiugua mda mrefu,mungu amlaze pema peponi,na hato sahaulika alikuwa mwanamziki bora ,kwa kuimba nyimbo zenye mafunzo kwajamii yetu Tanzania.
                                
                                              
                                     

3 comments:

  1. mungu amlaze pema peponi

    ReplyDelete
  2. kifoooo kifooooo kifoooo hakina uruma hii nyimbo ninzuri sana katika nyimbo alizoimba restin peace remmy

    ReplyDelete
  3. R.I.P REMMY ONGALA

    ReplyDelete

FREEDOM OF SPEECH