Mwanadada kim kardishian ambae ni model,amechaguliwa mwanamke mwenye booty(matako)makubwa kuliko macelebrity wote, kwa mwaka 2010.survey ilifanywa kupitia internet jinsi watu walivyo vote,na amemtupilia mbali Jennifer lopez,alieshikilia chart hiyo kwa mda mrefu.kuna wengine wana booty kubwa sema hawawekwi kwenye chart. utaona list yao kwa chini.
hizo vote wanazipiga wazungu tu weusi hatupigi mana wasitake kutwambia ulimwengu mzima kim ndio anabig matako bana,tanzania mboni tupo tena mie mwenyewe ni balaaa lol
mmmmh kim kardishian nae amejibeba hongera zake
ReplyDeletei can account on those voter,they are resist,kwanini hawamchaguagi beyonce and she got good curve.
ReplyDeletetetete kila kukicha wanashinda wazungu tu weusi kibao wanavishandu ila hawashindi,mana alicia key yupo so sexy na hajawai wekwa
ReplyDeleteserena she hot a big booty but mwili wake umekomaa so usexy wote unaishain other way she is amazing.
ReplyDeletevida da bums aint big wajameni
ReplyDeletehizo vote wanazipiga wazungu tu weusi hatupigi mana wasitake kutwambia ulimwengu mzima kim ndio anabig matako bana,tanzania mboni tupo tena mie mwenyewe ni balaaa lol
ReplyDelete