Hawa ndio waliovaa kipeke kwenye kili music awards 2011 na walipendeza kiukweli ,kuna wengine wengi walipendeza sema style za nguo zilikuwa zikijirudia rudi ,mona na jokate ndio walio nivutia upande wangu.
Kipekee u min kwa vazi la kitenge au????? mi naisi km MPOKI vile,, mana ile ndo ilikuwa ya kipekeee kuliko wote diamond nzima. Mwingine nae zeze sijui kashonewa na mwanae Iqra ile nguo lol yani na urafiki wote alonao na mwanamboka, sijui rozela ndo ashone vile???????
VAZI LA MONA SIO JIPYA SNA MACHONI MWA WATU LISHAVALIWA NA WATU WENGI ILA KAPENDEZA
ReplyDeletejocate yupo juu daily
ReplyDeleterose ndauka alipendeza nae na gauni lake la mburuzo mweke jamani
ReplyDeleteKipekee u min kwa vazi la kitenge au????? mi naisi km MPOKI vile,, mana ile ndo ilikuwa ya kipekeee kuliko wote diamond nzima.
ReplyDeleteMwingine nae zeze sijui kashonewa na mwanae Iqra ile nguo lol yani na urafiki wote alonao na mwanamboka, sijui rozela ndo ashone vile???????
Jamani mwanamke umbea hata km nimechelewa kulijua ili nataka tu kujua IVI JOKATE NI MJAMZITO??????????? au nguo tu
ReplyDeleteUVUMI WA JOKATE UMEONGELEWA MNO KWAMBA MJA MWEPESI ILA MWENYEWE ANAKANA ,SASA UKWELI HAUJULIKANI.NA KAMA KWELI MWENYE MTOTO NI NANI ASHIMU THABIT AU!
ReplyDelete