Jun 20, 2013
Jun 10, 2013
Jun 5, 2013
MDADA AHUKUMIWA KUNYONGWA!!
Inasikitisha kiukweli huyu dada anaitwa Fatma amekutwa na madawa ya kulevya alisafirisha kwenda
Nchini Egypt , adhabu ya Huko ni kunyongwa mpaka kifo,jamani inuma mdada anatarajia nyongwa ijumaa hii huko Egypt na inasemekana anamtoto mmoja ndio huyo cute gal
wasichana wa kiTanzania jaribuni kuridhika na maisha mlio nayo,Pesa haina mwenyewe !Maisha
Yasiwapeleke pabaya ukiridhika na dhiki yako utaishi kwa amani kuliko utajiri wa mashaka uku unaangamiza watu na kuua kwa biashara haramu ,katoto kanaenda kuwa yatima bila sababu
Namwombea mungu amnusuru na hii adhabu ,selikali ifanye lolote imnusuru kifo!',
May 21, 2013
May 18, 2013
May 17, 2013
Subscribe to:
Comments (Atom)








