dada wema ni mrembo sana tatizo sijui ni nini? kwa maana hatulii na mtu kwa muda mrefu ,pia kwa upande wangu sidhani kama huyo sharobaro anamfaa. ni heri ungejituliza ukapata mume bora. huyo kaka alikuponda kwenye kipindi cha mkasi na akamsifia kidoti.kwamba ndie aliye mchagulia nguo alizovaa. wanaume wanauchosha mwili wako.wazeeka bado mbichi take care sister , hapo hakuna ndoa. nikumengwa tu.

ReplyDeleteMdau.yote.mapito.bad msichana akikuwa Ataacha.kashaambiwa.hasikiii.yetu.macho.joketi alipita kumkomoa.
ReplyDelete