Woow nimefurahi utasema niliachwa mimi sasa nikarudiwa! jamani wawili wakipendana
waacheni tu hamwezi kuwatenganisha daima,mfano hai kama mimi na my burundi ata mpelekee habari gani juu ya mkewe atawaona wajinga tuu bora mtulie nahizo habari zenu na waume zenu.
Chriss anakamatia kabisa hataki mpoteza Riri lol
wajameni mkamate mmeo au mpenzio hata kama gumegume limemkalia kooni.Ugomvi ni chachu ya mapenzi sio sababu ya kuachana!Mwanamke jua kupigania penzi lako kama Riri.
Hope watarudiana na kuelewana wanaonekana walimissiana lol
sipati picha karrueche atakavyokuwa amenuna badaa ya bwana wake kumkiss Riri
Tetetete @siujua mapenzi .yanaandikagwa.ikifika .mda unaweza.kuachwa.bdae .ukarudiwa .ilishapagwa .#@kazi pale kama ulichelewa kujipanga.alivyokuja uko kawko ka bi mdogo.sikuzte .tu chake .utaishi .Mambo.nyama.inamwenyewe .wabarikiee warudiane .
ReplyDeleteTetetete inatufundishsa.sana .wanawake .tusijidanganye .cha mtu mavi .anamlala dada wa tu.akili .yte kwa riri .@ napita tu.
ReplyDeleteHahahahahH @wakuache miaka 800.muke wa murundi.watajibeba.joluo ngangali .tugawane ustsrabu.mjini.skonga.tenà .
ReplyDeleteusijali mrembo wewe ndio wake wa moyoni walikuwa wapi kuwahisha izo habari kabla hajakuweka ndani kwa sasa ni late sana go girl luv kuzin
ReplyDeleteMh! Dunia inamambo
ReplyDeletethanks norah
ReplyDeletengaiza unalijua leo hilo!dunia imejazwa na mengi
ReplyDeleteHahahs ya chini ya kapeti bwana .......... Heka heka! Mnaota mchana?
ReplyDeleteWewe unaota .usiku .wangapi wanaota .unampya .¡
ReplyDelete