W-end moja ivi niliamua kuimalizia Göteborg
hapo nilikuwa tayari kwa safari ,Novel plus computer hakuna kuboeka
Baby ya murundi travel with style.
Yellow n black nice mixing
My hubby alinisindikiza alikuwa na uzuni kama nitakaa mwaka
luv u baby.
nilinunaje walipotangaza tunainza safari!na kumwacha
my murundi
safari ikaanza
Finaly nikafika. nikaenda home party direct.
Wajaluo Team ikakamilika jamani huko wajaluo wengi soon tutafungua Obama village lolest.
xoxox
Haya sasa wakina wale wameumbuka
ReplyDeletemlipendeza wajaluo naona family reunion hahah
ReplyDeleteInapendeza sana .mkikutana .wajaluo mara .moja .kwa.mwaka .@mbatikiwe @wawaache.wajaluo.miaka 1000.mbarikiwe .
ReplyDeleteMlipendeza sana .
ReplyDelete