Aug 24, 2012

GOSSIP ZA MTAANI -JACKLINE NTUNYABALIWE ATARAJIA MTOTO


MISS TANZANIA 2000 JACKIE ANATARAJIA KUPATA MTOTO SOON!
SWALI LINAKUJA JE NANI NI BABY DADY?MIMI SIJAJUA ILA UMBEA UNATEMBEA
 
JACKIE AKIWA NA FIANCE WAKE REGINALD MENGI, INASEMEKANA
NDIO BABY DADY WAKE!KILA LAKHERI MUMY KARIBU KWENYE ULIMWENGU WA KULEA

2 comments:

  1. mmh bibie hapo umaskini bye bye ndio mana red carpet bongo alikuwa anavaa nguo za madesigner wakubwa sasa jibu nimepata asanteeee

    ReplyDelete
  2. Ukitaka vizuri @tuwe wavumilivu @napakunusa .kama hujakuwa mjanja wakunusa .kutwa. @tunaishia kusema .sana
    .bahatl . Sina .kicheche atulii akitulia amepsta.tuige.mifano .hangers.dada .hizo.ndo.fimbo .za maisha .kula .raha .


    ReplyDelete

FREEDOM OF SPEECH