Nywele za kimasai ukisukwa raha na utaenjoy kufumua ndio tatizo haswa kama unanywele za kubembeleza kama zangu ,yani nimetamani kulia ila sinajinsi zilivyonyonyolewa kipili pili changu nikaamua kukata mana hakuna njia nyingine sipendi kunyoa maishani mwangu
ngggr yani basi tu mana najijua nachukiza mmasai kaniwezaje!
KAMA KASTUDENT KA DARASA LA 7!
nivizuri kuonekana tofauti u look cute bana..
ReplyDeletemmmm kweli umeamua@muke wa murundi umekuwa mdogo enzi zile skonga uganda .
ReplyDeleteNiliposoma kipara I thought ni km cha Flaviana wala sikipara hicho mbona umepunguza tu. we nzuri and u know it so huwezi chukiza kwa kuwa nature ujue. Umependeza ki-juli July no nywele ya mhindi wala mburaziri. Karibu kwa group yaani nimezimikia nywele zangu fupi like crazy.
ReplyDeleteasante my dear sema hii style ya nywele fupi si mchezo ngumu
Delete@mamaloshi umeona eeh yani nimerudi kuwa kijuli kabsaaa ila soon nitarudi kweny mawig hizi sio swagg zangu kabisa kipara
ReplyDeleteumependeza sana ,tofauti na ukiwa na minywele ya kichina. nature is beauty bebe, mtizame hata kajala masanja flavian matata na wengine wengi.
ReplyDelete