UJUMBE WENU TOKA JALUX NI
JIDHAMINI,JIPENDE ,JIAMINI NA EPUKA KUWA TEGEMEZI
KWANI NDIO MWANZO WA UMASKINI!
NINGETAMANI NINGESHEREKEA NA NYIE MY BEAUTIFUL WOMEN
ILA IMESHINDIKANA SABABU YA DISTANCE NAWATAKIA KILA LA
LAKHERI
MY LOVELY MUMY
MY SISTER EDITH
MY SISTER NANCY

MY LITTLE DADA JACKIE
WIFI YANGU WA PEKEE MAGE
MY KUZIN NORAH

MY KUZIN MAMA NICOLE
SEXY GAL MIRIUM
MY GAL SALAMA
MY GAL MUMY R
SWEETIE MAM LUCINA

MAMA YA CL WEWE TULIIFURAHIA PAMOJA LAST W-END
NAKU WISH TENA.
thanks my love na wewe pia
ReplyDeleteasante dada yangu wa ukweli
ReplyDeletena wewe pia aunt yao.missing u c u soon mummy claire
ReplyDeletenimependa dental formular yako
ReplyDeleteunadada wazuri hongera mama brandon
ReplyDeletemama loshi .asnte mumy b muke ya murundi hahahhahah tunajivunia hii siku ya leo na wengine tunawatakia siku njema popote walipo tubarikiwe wanawake tuonyeshe nguvu juhudi na ujasiri kupiga vita umaskini .na kubadilishana mawazo kwa wale wanawake wasiopenda maendeleo hahhahahhaah
ReplyDeleteasante kwa ujumbe mama b mume wa murundi .bila kujituma wanawake tutaburuzwa kama gari .ila kwasisi no .tutunapambana na maisha tu .mungu awasaidie wanawake wte duniani kuamka na kujituma sio tegemezi kitongaaa haipendezi.na kulazzimisha maisha yasio ya kujituma kutumia jasho za watu tuamke wanawake kama wewe ni mmja wao .usijiendekeze .ni kukomaaa tu hureeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
ReplyDeletewarda .ni kweli mamy muke ya murundi .hata uko wapo wanawake tegemezi?uku tzz wamejaaa yani hadi uko basi kazi tunayo ila msg yako imetulia tutazidi kuelimika kidogo kidogo nawachukia wanawake kitonga.asnte
ReplyDeletewamependeza wte .jamni mamy lucina yupo uku mungu abriki sana.mama anjituma huyo namkubali sana .asnte kutuwekea picha zao tumewamissje
ReplyDeleteasante Jully,tulienjoy kwa kweli. Happy womens day kwa mara ya tena mami. pamoja
ReplyDeletehahahahhahah my wifi naona mwaka umeunza navishindo kama wanaijaaa mchekooooo .umependeza mama wawili .hongera.
ReplyDeleteJITHAMINI na sio jidhamini hivi kuandika hujui?
ReplyDeletewarda mbon hata huku wapo ten wengi kazi kuchunga waume za watu na kuaribu ndoa za watu kisa kitonga go n find job bitch
ReplyDeletewarda mbon hata huku wapo ten wengi kazi kuchunga waume za watu na kuaribu ndoa za watu kisa kitonga go n find job bitch
ReplyDeletehapo umenena tena mpaka wanapigan kisa kitonga tafute ajira wanawake acheneni na mambo ya mpito khaa unahongwa uku unadharirishwa starehe ipo wapi
ReplyDeletepapappa natuma salamu imfikie
ReplyDeleteshost pale stockholm na wema pale dar nihayo tu mtangazaji
Na maneno yawarudie na skatt mlipe na makwenu mtulie ya watu myatue!
ReplyDeletemajungu,na kutengeneza habari za uwongo mpk kuanya ziwe kweli,ujuaji mwingi, na kujishtukia kuwa kila siku unasemwa wewe WANAWAKE TUACHE.
ReplyDeletekabsa
ReplyDeletendugu zangu mmependeza sana.
ReplyDeleteasante my dears wewe ulietuma salamu imenivunjambavu lalala
ReplyDelete