Mar 7, 2012

WISHING YOU HAPPY WOMEN'S DAY

                                 HAPPY WOMEN'S DAY TO ALL WOMEN OUT THERE!
UJUMBE  WENU TOKA JALUX NI
JIDHAMINI,JIPENDE ,JIAMINI NA EPUKA KUWA TEGEMEZI
KWANI NDIO MWANZO WA UMASKINI!

 NINGETAMANI NINGESHEREKEA NA NYIE MY BEAUTIFUL WOMEN
ILA IMESHINDIKANA SABABU YA DISTANCE NAWATAKIA KILA LA
LAKHERI
MY LOVELY MUMY

MY SISTER EDITH

MY SISTER NANCY
MY LITTLE DADA JACKIE

WIFI YANGU WA PEKEE MAGE
MY KUZIN NORAH

MY KUZIN MAMA NICOLE

SEXY GAL MIRIUM
MY GAL SALAMA

 MY GAL MUMY R
SWEETIE MAM LUCINA
MAMA YA CL WEWE TULIIFURAHIA PAMOJA  LAST W-END
NAKU WISH TENA.

21 comments:

  1. thanks my love na wewe pia

    ReplyDelete
  2. asante dada yangu wa ukweli

    ReplyDelete
  3. na wewe pia aunt yao.missing u c u soon mummy claire

    ReplyDelete
  4. nimependa dental formular yako

    ReplyDelete
  5. unadada wazuri hongera mama brandon

    ReplyDelete
  6. mama loshi .asnte mumy b muke ya murundi hahahhahah tunajivunia hii siku ya leo na wengine tunawatakia siku njema popote walipo tubarikiwe wanawake tuonyeshe nguvu juhudi na ujasiri kupiga vita umaskini .na kubadilishana mawazo kwa wale wanawake wasiopenda maendeleo hahhahahhaah

    ReplyDelete
  7. asante kwa ujumbe mama b mume wa murundi .bila kujituma wanawake tutaburuzwa kama gari .ila kwasisi no .tutunapambana na maisha tu .mungu awasaidie wanawake wte duniani kuamka na kujituma sio tegemezi kitongaaa haipendezi.na kulazzimisha maisha yasio ya kujituma kutumia jasho za watu tuamke wanawake kama wewe ni mmja wao .usijiendekeze .ni kukomaaa tu hureeeeeeeeeeeeeeeeeeee.

    ReplyDelete
  8. warda .ni kweli mamy muke ya murundi .hata uko wapo wanawake tegemezi?uku tzz wamejaaa yani hadi uko basi kazi tunayo ila msg yako imetulia tutazidi kuelimika kidogo kidogo nawachukia wanawake kitonga.asnte

    ReplyDelete
  9. wamependeza wte .jamni mamy lucina yupo uku mungu abriki sana.mama anjituma huyo namkubali sana .asnte kutuwekea picha zao tumewamissje

    ReplyDelete
  10. asante Jully,tulienjoy kwa kweli. Happy womens day kwa mara ya tena mami. pamoja

    ReplyDelete
  11. hahahahhahah my wifi naona mwaka umeunza navishindo kama wanaijaaa mchekooooo .umependeza mama wawili .hongera.

    ReplyDelete
  12. JITHAMINI na sio jidhamini hivi kuandika hujui?

    ReplyDelete
  13. warda mbon hata huku wapo ten wengi kazi kuchunga waume za watu na kuaribu ndoa za watu kisa kitonga go n find job bitch

    ReplyDelete
  14. warda mbon hata huku wapo ten wengi kazi kuchunga waume za watu na kuaribu ndoa za watu kisa kitonga go n find job bitch

    ReplyDelete
  15. hapo umenena tena mpaka wanapigan kisa kitonga tafute ajira wanawake acheneni na mambo ya mpito khaa unahongwa uku unadharirishwa starehe ipo wapi

    ReplyDelete
  16. papappa natuma salamu imfikie
    shost pale stockholm na wema pale dar nihayo tu mtangazaji

    ReplyDelete
  17. Na maneno yawarudie na skatt mlipe na makwenu mtulie ya watu myatue!

    ReplyDelete
  18. majungu,na kutengeneza habari za uwongo mpk kuanya ziwe kweli,ujuaji mwingi, na kujishtukia kuwa kila siku unasemwa wewe WANAWAKE TUACHE.

    ReplyDelete
  19. ndugu zangu mmependeza sana.

    ReplyDelete
  20. asante my dears wewe ulietuma salamu imenivunjambavu lalala

    ReplyDelete

FREEDOM OF SPEECH