Mar 4, 2012

SUNDAY CHICK -MUKE YA NOEL

MY LOVELY SISTER NANCY
ME LUV U SANA MY ROLE MODEL

16 comments:

  1. My nancy pende wewe, me love her too

    ReplyDelete
  2. english figure kitako cha kubeep mashalllah mamaloshi

    ReplyDelete
  3. Kwani role model maana yake nini???

    ReplyDelete
  4. mama lao wew mkaree nakupendaje unakosesha usingizi yule munene kam kabati ajikoroga kama.mujua hhhhaha luv u mpaka kiama

    ReplyDelete
  5. kama kungekuwa na uwezo wa kuuzwa hiyo rangi madukani basi.ningekuwa wa kwanza kununua unanyima.watu amani mnoo na uzuri wako that's what we call natural beauty no carolite added

    ReplyDelete
  6. nancy hizo nywele nipe wink pls

    ReplyDelete
  7. nancy uko poa umependeza shoga.shem hajambo?

    ReplyDelete
  8. kitako dot.com hayahaya kumekuchaaaaa.

    ReplyDelete
  9. hahhahah yani nimekukumbuka kweli ulipania hadi umemaliza malengo yako hongera nakutamania mama lazaro.bado uko na omary kweli mnapendan tangu miaka ile hongera sana mungu awatanghulie mdumu daima na na daima .wasalimie ndugu zako .tutaonana nikija uko bye

    ReplyDelete
  10. hongera kwa rangi nzuri mna ni wachache wanakaa na rangi zao love u.

    ReplyDelete
  11. mama noel kwani mumeo kbadili dini tena .mbona mambo ila umependeza .mahaba na wizi wa mapenzi hadi baba wa watu kakufata dini yako makubwa kichekoooooooooooo wajaluo nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  12. pendeza mamito love yeah

    ReplyDelete
  13. hahahhahah mmdau ndo mana yake ukipenda boga penda na......?unajua kila kitu mungu ndo anapanga utaenda kote mwisho wasiku unarudi palepale.so nadhani mungu ndo kapanga iwe hivyo.izo imani tu potofu .mungu muweza yte ndo anatupangia .penda wte

    ReplyDelete
  14. my nices and nephews look mwaaa...y'all rocking for sure...mad love to all of you...

    ReplyDelete

FREEDOM OF SPEECH