Mar 20, 2012

LOOK FOR LESS MAMA B-BEACH WEAR


MUKE YA MURUNDI WAS SPOTTED AT WET N WILD KUNDUCHI BEACH RESORT
WORE.....LOOK SO SEXY N GLAMOUR I LUV MY SELF
MOI N MY HUBBY TUKISTRETCH OUT STRESS
OMG I LUV THIS MAN WAJAMEN, THIS MONTH IS OUR THIRD ANNIVERSARY
I CAN'T WAIT.

20 comments:

  1. mmmmh haya umependeza mja awajaalie mwishi miaka 100 zaidi na ndoa idumu

    ReplyDelete
  2. beach bila watoto?

    ReplyDelete
  3. Mlipendeza sana Mana Buyando, Mungu awajalie maisha marefu ndoani mwenu. Ukipendwa penda mamaa, unavuta wangu. Kisses

    ReplyDelete
  4. asante ngaiza nampendaje soon nitafanya reklam ulimwengu uje lol

    ReplyDelete
  5. yesu namaria we mwanamke kumbe ulikuwa na hizi picha na ujatuwekea unaroho mbaya ulipendezaje na kaka yangu ila wapi watoto nawawish more yrs to come

    ReplyDelete
  6. Look nice but the shades dont suit u find shades which lightup ur black face!
    kweli mmedumu hatukutaraji! Shetani apite mundelee kuishi pamoja!

    ReplyDelete
  7. hahhahahhahhahahha unakumbuka hiyo siku ndo matelefoni yalipigwa hahhahahahahhah mungu awabariki muishi mmpka miaka 2ooooo.muke wa noel

    ReplyDelete
  8. watoto nilikuwa nao we cant leave them behind

    ReplyDelete
  9. haha couzin yani atasikukumbuka kama ninahizo pict ila kuna kiumbe kilikuwa kinalilia sana hizi picja sasa nimeamwua nimwekee.nimfurahishe rohoo

    ReplyDelete
  10. yap my lovely dada nakumbuka foleni kubwa but we had fun missing u

    ReplyDelete
  11. ngaiza asante mbona hapa tutadumu mpaka kifo wenye husda waliangaika wamechemka
    wajaribu pengine the man is in love humwambii kitu takataka zao.walizokuwa wanamwambia aliflash chooni sasa anamove on for the future

    ReplyDelete
  12. mama wa kitimoto coco said...awwww utadumu mamaaa,MUNGUNI MWEMAAAA....mpende mumeo waliongea kuwa utamkimbia sasa daaaaa,mgande banaaaa love u.

    ReplyDelete
  13. hongera mama brandon ukipendwa nawe penda ndio mapenzi yananoga maneno yao yasikutishe wew dereva wao abiri atagari likijaa wew hukosi siti

    ReplyDelete
  14. mungu awabariki maisha ya furaha na aman awanyooshe kwa kila jambo muwe family nzuri

    ReplyDelete
  15. Boti ya burudani Amorela hiyooooooooo

    ReplyDelete
    Replies
    1. teh teh teh dadangu ndio mana nakupenda yani wew ni less maneno more vitendo huna pressure mambo hayo kawaida ila kwa kipofu akiona mwezi si kelel ooh coco ohh ujaenda kweny resort haya sasa ameaibikaje darlive .luv uuu nikissie
      brandon mwanangu

      Delete
  16. bongo kama new york vile yani unapagawa unapapinga kama sio nchi yako pole binti inaidi upate mjanja akuzungushe dar kweli we bado hilo sio boti kwikwikwi

    ReplyDelete
  17. hahhahahhahha nimecheka@beach bila watoto .kuna sehemu nyingi za kucheza watoto mdau walikuwepo .ndo mnajiuliza.next time ukienda hapo utaona kwa macho yako .pole

    ReplyDelete
  18. KILA KITU MIPANGILIO KUNA WATU WANAKURUPUKA TU .KUONGELEA KITU HAWAJUI .MA COCO .BEACH CHAFU .JAMANI NYUMBANI NI NYUMBANI .NDO TULIPOZALIWA WTE .HAHAHHAHHAH AIBU SIJUI ATAJIGAGALISHA NA NINITENA MNA PICHA NDO HIYO .HAPO CHACHA IMEKULA KWAKO .MPAKA HAJE AFIKIE MLIPO ATAISOMA NAMBA .POLE YAKE .MUNGU AWABARIKI .MUISHI DAIMA SANA .ATACOMMENT SANA YENU YANAWAENDEA .LANA ZTE ZINAKUJA KWAKE HAHHAHAH TENDA WEMA UENDE ZAKO .BORA KUWA MSHAMBA KULIKO KUWA LIMBUKENI.WA NCHI MNA BALAAA TUNAMCHORA TU HAJIJUI.WANAOKWENDA KULIMA BILA JEMBA .UJISHAUWE NA UVIONYESHE WEW UNAVYO BUT MMMM TUNAKUJUA KIMAVIMAVI BADILIKA KIMAENDELEO KAMA WENZAKO .UTAISHIA KUKOMMENT .TU MIAKA INAISHA .HAHHAHAHAH.MAMA B NIWEKEE MSG YANGU PLEASE

    ReplyDelete

FREEDOM OF SPEECH