
Neon yellow ni new collection ya spring -summer kama unapita madukani utakuwa
umeiona inavutia umwonampo mvua kaivaa kama hapo Jlo kaivalia na pump za pink
wat a look gal!

haya wale wa kucha kuna neon ipo, lol kuna muke ya murundi moja inapenda kucha
huwezi kuta kucha zake chafu kila collection ya rangi anaitendea kazi.

neon pumps
hapo ndio penyewe skinny jeans ya neon
atamkanda nao unakwenda unawakilisha neon kama hutaki kung'ara sana
wale wa dress
yaani hiyo suruali naipenda ilivyokukaa,u look gud ngoja nikatafute yangu lol...
ReplyDeleterangi nzuri ila inawaka sana labda kwa usiku inanoga zaidi
ReplyDeletekucha.ndio urembo wa mwanamke.kumpamba mikono kwani yako waiachaga michafu?
ReplyDeleteasante doll nenda mumy.duka la salt ndio niliinunua hope utaikuta japo nilinunua last yrs kama upo bongo basi nenda kwa kiki fashion utokosa
ReplyDeleteBla bla bla bla bla bla!
ReplyDelete