Mar 2, 2012

GOOD JOB MARTIN


 SPEECHLESS ,YANI HII PICHA NI BEST OF THE BEST MPANGILIO WA RANGI
                       NI MZURI UNAVUTIA ALIE DESIGN NI  MARTIN KADINDA
MWENYE COAT LA GREEN ,GUYS WEMA IS SO ADORABLE! U SEE THOSE
                                            SUEDE HEELS COLOR COMBO.!

6 comments:

  1. Ebwana dogo yuko feet. Juu sana.

    ReplyDelete
  2. wamependeza jamnani nampenda wema yani kila nguo inampendeza ana damu ya nguo.

    ReplyDelete
  3. wema ana damu ya nguo huyu ,martin angepaka makeup angependeza zaidi uso umeng'aa mno

    ReplyDelete
  4. shangingi wema hiloooo...haloooo

    ReplyDelete
  5. Wema utasema kuku huo mguu mkorongo

    ReplyDelete
  6. huyu wema kaiba mume wa m2 siri imefichukajeee,gari kuleee...

    ReplyDelete

FREEDOM OF SPEECH