Mar 14, 2012

GET A LOOK - BABY BLUE IVY


BLUE IVY KESHA ANZA SWAGG KAKIWA KADOGO ,TUTAMKOMJE NA SILVER FLAT SHOEZ

MAMA NA MWANA FULL SWAGG 

21 comments:

  1. wewe mbona uwezi kumbeba mwanao kama alivyo fanya B. huna pesa wewe.hukutumwa kuzaa kama huna mshiko.

    ReplyDelete
  2. huyu nae amekosa kweli la kuongea wivu.com tafuna pilipili mezea pepsi ukojoe ukalale

    ReplyDelete
  3. beyonce miguu hiyomamma,mama b asante kwa mziki naenjoy balaaa jalux oyeeeee

    ReplyDelete
  4. HUYO NAE ATUPISHE BWANA AENDE KUKWAPUA NGUO ZA WASWEDI HUKO MADUKANI KAMA KAWAIDA YAKE KAKOSA LA KUONGEA ALAFU BISHA KAMA SIO KWELI NA WATU WAMEKUSHTUKIA JIJI HILI NIMEANDIKA MAANDISHI MAKUBWA KIMSISISITIZO ZAIDI

    ReplyDelete
  5. hahah kunawatu nawanyima amani kweli jiji hili mana wakilala wakiamka wanawaza nikamtukanaje muke ya murundi kweny viblog mshenzi mimi ndio mimi bana unishushi wa unipandishi kwa vimaneno vyako pole mana umelose peace of mind ndio mana unahaha angalia usijekufa na presha ya moyo wivu.ugonjwa mbaya.

    ReplyDelete
  6. mama brandon achana nae huyo chizi maisha yanampelekesha anatamani awe wewe ila uwezo hana ataishia kukwapua nguo madukani na kukwapua waume za watu hakuwezi tena bora anyamaze juzi juzi nililiona msibani wala sikujisumbua kulisalimia watu wamelichokaje wanalisema jiji zima yani jizi si nguo wala waume.za watu .

    ReplyDelete
  7. mmmh haya mapya sasa darlive kahamia kweny ukibaka makubwa haya ndio mana juz kati msibani watu walikuwa wanaongea ila sikujua wanamwongelea nani jamani jamani mwanamke na wizi haviendani khaaa wachanikafute wazee mavi mie

    ReplyDelete
  8. mama brandon kwa nini unabishana na mpumbavu huyo hawezi.ishi bila chokochoko ndio mana kila kona yupo yeye kujua maisha ya watu.yanendaje na kuuliza nani kagombana na nani.apate peleka fitna adi wanaume.washamjua mpuuzeni ajione mjinga

    ReplyDelete
  9. olaaaaaaa napita tu.naona kumekucha

    ReplyDelete
  10. kali ya mwaka du hii sasa soo

    ReplyDelete
  11. ngoja nikatafute kopo la kukojolea narudi jamani.

    ReplyDelete
  12. mama blandoni upo juu tujuze kumbe wezi madukani hata misibani pia wanawaongelea msiba wa nani huo jamani kila kona wapo duuu dongo na mmbea akosekani popote utamjua tu marafiki wengi kanuni ya mmbea wajaruo juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  13. jamani tuwe makini sweden tumeingiliwa mana sikuizi hata wauza mkaa wanazichanga wakuja ulaya ndomana majungu fitina aziishi choyo sio vizuri ujumbe mkorogo umepitwa na wakati

    ReplyDelete
  14. limemfikia maana kutwa anandika hachokiiii c mpaaaaaaaaaa,mwache 2 atayaoga maji uwanja mdogo atatuliza boli mwenyewe.

    ReplyDelete
  15. my dear wala sijui nani kafa na msiba wapi umbea unajileta wenyewe humu .mie makund makundi.sinaga yakufatana kama wanyama porini basi.napitwa na mengi

    ReplyDelete
  16. naogopa taja jina mana ushoga atauvunja na umbea nitaupata wapi maa yeye ndio metroSat Mar 17, 07:49:00 AM 2012

    uwiiii mbona mambo leo raia mmeamua kumtolea uvivu kamata mwiziiiii mennnnnn

    ReplyDelete
  17. hahhahahahhah jamni mbona mambo mama b mwaka huu mdogo wangu naona umeamkia kwako .potezeee mna mtu anahasira sana .ila vicomment vyake akituma viweke ili umchoreshe .hahahhahah .ni moja wapo ya kumbadilisha mtu tabia mdogo mdogo .kupitia hapa.wasalimie familia yako wte .tumewamisije.

    ReplyDelete
  18. Wabongo utatujua tu du! I mean utawajua. Nasemapo kidogo tu wajameni manake wahaya hatujui Kiswahili ntaliaje nikija chambwa mie!

    ReplyDelete
  19. hahaha hapo na wew mdomo utakuwa umeuweka wapi ngaiza

    ReplyDelete
  20. missing u too muke ya noel.mbona mie ananikubali si ndio mana anakosa amani anaishia kujiandikisha kweny mablog mafanikio hayaji bila kujituma sasa ajitume nae sio ugolikipa na matusi haya mjengi bali yanamboa fikra

    ReplyDelete
  21. wivu utakuua.nyau a.ka. pusi..we mwanao yuko wapi? Huna lolote mbona huo mbembeo unapatikana hata kariakoo. mshamba we

    ReplyDelete

FREEDOM OF SPEECH