Feb 14, 2012

RIHANNA'S SWAGG @GRAMMY AWARDS

Riri alivaa simple na classic kwenye grammy awards ,nimeona tuchukue short tour
                                        kuona swagg zake hope u will like it!
                                                                            
classic girl

mgongo very smooth, gauni limepata kiuno

sasa kifua! tatoo kwa mbalii zoom uone kaandika nini lol
wooh anatatoo ya kiarabu !haya Wema kamata na hii
bye bye jalux readers hapa ndio mwisho wa tour yetu hope mmependa swagg zangu.

oops bila kusahau mguu hii ndio swagg alitinga ni CL, ila kama umeipenda kuna kama hii ya
Aldo na Zara  kr yako tu.

5 comments:

  1. Hakun,mbaatisho,hapo kapendeza

    ReplyDelete
  2. Haha inaman hutuwezi nunua cl mpaka umetwambia maduka,mengine lione zuriii

    ReplyDelete
  3. Rihanna analeta,hamu binti huyu hajawahi kuchukiza bana tetet,wems kweli atakopi,na kipaste hiyo ya mbavuni gud job momy b

    ReplyDelete
  4. Maduka yote,hayo ni bei ngoja nijichange change,kungojea sales

    ReplyDelete

FREEDOM OF SPEECH