kuona swagg zake hope u will like it!
classic girl

mgongo very smooth, gauni limepata kiuno

sasa kifua! tatoo kwa mbalii zoom uone kaandika nini lol

wooh anatatoo ya kiarabu !haya Wema kamata na hii

bye bye jalux readers hapa ndio mwisho wa tour yetu hope mmependa swagg zangu.
oops bila kusahau mguu hii ndio swagg alitinga ni CL, ila kama umeipenda kuna kama hii ya
Aldo na Zara kr yako tu.
Hakun,mbaatisho,hapo kapendeza
ReplyDeleteHaha inaman hutuwezi nunua cl mpaka umetwambia maduka,mengine lione zuriii
ReplyDeleteRihanna analeta,hamu binti huyu hajawahi kuchukiza bana tetet,wems kweli atakopi,na kipaste hiyo ya mbavuni gud job momy b
ReplyDeleteMaduka yote,hayo ni bei ngoja nijichange change,kungojea sales
ReplyDeleteAsante,mdau wangu wa norway
ReplyDeleteXoxo