Feb 29, 2012

MY FAMILY

Bye bye baridi ,sasa mtu unaweza hata ukatembea mjini na kuenjoy, 
week hii nilipata off nikatembea taoo(town)na familia yangu.mda wa viatu sexy ndio huu sio maboots makubwa tena hakuna kufreez baridi imekwisha! 
I had my Brown Ankle boots from Belle.
lunch time
baada ya mizunguko

my little Angle  always smile 

that's my baby dady so delicious

Muke ya murundi akingojea nyam nyam
Mmm mama nitaweza kweli hiki chakula nishazoea Happy meal.
nilimiss hii kitu mbaya diet tupa kule
who made possible fotocopy of your pappa.......
kama maharagweee walivyofanana
ciao

12 comments:

  1. hahahhaahha umeanza tena mambo ya mac d .mtaanzatena kunenepeana .mmmm mi naogopa wasalimie familia yako tumewamiss mungu akipenda tutaonana soon .jalux family hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  2. hizo kucha zako vip tena alafu mbona una vaa nguo na viatu vya bei poa sana?

    ReplyDelete
  3. kucha zinanini umezipenda!pendeza mama viatu vizuri hivyo

    ReplyDelete
  4. jamani watu visa siuseme tu umezipenda nguo zake hahah

    ReplyDelete
  5. asante my best mdau najackie.@umeonaee bei poa n i nailed it fashion sio pesa ni how made it

    ReplyDelete
  6. kama hivi viatu bei rahsi basi vingekuwa stockholm oyeen ndo kwanza natoa tongotongo humu hata hilo duka la bell sina habari kama lipo jijihili mama upoo juu mwacha aoche kinywa huyo

    ReplyDelete
  7. Safiii kijuly kwa raha zako, nilikisakaje kiatu hicho mpenzi na kukipata kikawa 40 si hakikunitosha niliumiaje mpenzi wangu. Pendeza sana km kawaida ya wewe mpendwa wangu, hi kwa familia missing u.

    Mnapendeka nyoote.

    ReplyDelete
  8. pole ngaiza nakumbuka ulikuwa unavitafuta belle wamefungua duka lao karibu na job nitakupeleka kama utabahati kuvikuta

    ReplyDelete
    Replies
    1. Asante nipelekege mpenzi, nimechoka kutokwa udenda, nimeona kingine chenye msimbazz na vile toka nimeona chako nimekuwa chizi nataka nijitose nipeleke kwenye meza ya mzungu (wink) kesho ndo yenyewe sikupatii mlipuko kimbiza

      Delete
  9. happy family may God bless u

    ReplyDelete
  10. umependeza sana mama, anesema kiatu bei poa aweke chake tuone, mtu mzima hovyooooooooooo.

    ReplyDelete
  11. hahhahaha fashion sio lazima uvae vya garama wadau.hawajajua fashion .mmm makubwa ni kujipangilia tu kimavazi sio garamaa .unweza ukavaa vya garama na usijuekujipangilia hahhahha

    ReplyDelete

FREEDOM OF SPEECH