Bye bye baridi ,sasa mtu unaweza hata ukatembea mjini na kuenjoy,
week hii nilipata off nikatembea taoo(town)na familia yangu.mda wa viatu sexy ndio huu sio maboots makubwa tena hakuna kufreez baridi imekwisha!
I had my Brown Ankle boots from Belle.
lunch time
baada ya mizunguko
my little Angle always smile
that's my baby dady so delicious
Muke ya murundi akingojea nyam nyam
Mmm mama nitaweza kweli hiki chakula nishazoea Happy meal.
nilimiss hii kitu mbaya diet tupa kule
who made possible fotocopy of your pappa.......
kama maharagweee walivyofanana
ciao
hahahhaahha umeanza tena mambo ya mac d .mtaanzatena kunenepeana .mmmm mi naogopa wasalimie familia yako tumewamiss mungu akipenda tutaonana soon .jalux family hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
ReplyDeletehizo kucha zako vip tena alafu mbona una vaa nguo na viatu vya bei poa sana?
ReplyDeletekucha zinanini umezipenda!pendeza mama viatu vizuri hivyo
ReplyDeletejamani watu visa siuseme tu umezipenda nguo zake hahah
ReplyDeleteasante my best mdau najackie.@umeonaee bei poa n i nailed it fashion sio pesa ni how made it
ReplyDeletekama hivi viatu bei rahsi basi vingekuwa stockholm oyeen ndo kwanza natoa tongotongo humu hata hilo duka la bell sina habari kama lipo jijihili mama upoo juu mwacha aoche kinywa huyo
ReplyDeleteSafiii kijuly kwa raha zako, nilikisakaje kiatu hicho mpenzi na kukipata kikawa 40 si hakikunitosha niliumiaje mpenzi wangu. Pendeza sana km kawaida ya wewe mpendwa wangu, hi kwa familia missing u.
ReplyDeleteMnapendeka nyoote.
pole ngaiza nakumbuka ulikuwa unavitafuta belle wamefungua duka lao karibu na job nitakupeleka kama utabahati kuvikuta
ReplyDeleteAsante nipelekege mpenzi, nimechoka kutokwa udenda, nimeona kingine chenye msimbazz na vile toka nimeona chako nimekuwa chizi nataka nijitose nipeleke kwenye meza ya mzungu (wink) kesho ndo yenyewe sikupatii mlipuko kimbiza
Deletehappy family may God bless u
ReplyDeleteumependeza sana mama, anesema kiatu bei poa aweke chake tuone, mtu mzima hovyooooooooooo.
ReplyDeletehahhahaha fashion sio lazima uvae vya garama wadau.hawajajua fashion .mmm makubwa ni kujipangilia tu kimavazi sio garamaa .unweza ukavaa vya garama na usijuekujipangilia hahhahha
ReplyDelete