Feb 22, 2012

MY CASUAL WEAR-

Summetime ipo njiani jamani hata sitaki amini ,tunapumzika na mizigo ya majacket
na soksi nzito,gals it's time to show wat got from ur mama.last
year summer ilikuwa poa kwangu mana ni loose sum weight ila ya mwaka huu naona nip
kibonge flani utata kupata nguo yakunifit.
hey dolls , my casual wear was simple n sexy,no make up added.
 i wore pink top from zara,black blazer from H&M.
BEAUTIFUL
SMILE I LUV MY SELF


 skinny legging dark blue jeans from Zara,LV damier Azur
canvas handbag,and white flat perforated shoez.
kisss

12 comments:

  1. Ujanene kiivo mama b .umependeza

    ReplyDelete
  2. umependeza. unawakimbiza balaa una sura nzuri black beauty. so cute so sexy, nawaonea huruma wenye vijiba vya roho.jiachie mwaya kwa raha zako. wataisoma namba japo kimoyomoyo.

    ReplyDelete
  3. now i can see kwanini mrundi anadata yani upo natural beauty mzuri mjaluo wewww hongera bwana shemeji hapo umechagua

    ReplyDelete
  4. Nai nai umenikoshaaaa leo mana nafungua mara kitu cha nai nai uwiiii mama b me luv uuu kila kukicha unakuja upya

    ReplyDelete
  5. asante my dear kama unafurahia namie nakupenda mbaya
    xoxox

    ReplyDelete
  6. Hahhaha hasira za nini mama wawili.matusi hayabadili uzur wa mtu black always cute no matter wat pole sana nakuona unajazba maneno yanakutok kam unatak kata roho unalo hilo bwana ndio yuleee anamali mpya wewe unahaha huyooo utazeeka kwa wivu.mie kwa raha zangu na hubby wangu jipange tena bimkubwa hapo umechemka

    ReplyDelete
  7. Teteteh du kijembe cha nani hiko.

    ReplyDelete
  8. I luv ur out fit so sweetie baby

    ReplyDelete
  9. Pochi lakio zuri .umenunua wapi?

    ReplyDelete
  10. ma ma brandon ur so cute,pochi lako niazime sama hiiiyooo.

    ReplyDelete
  11. jamani matusi hayafai nyie watuu lol.

    ReplyDelete

FREEDOM OF SPEECH